Naomba ushauri: Mpenzi wangu haniamini

Naomba ushauri: Mpenzi wangu haniamini

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,904
Reaction score
3,099
Amani iwe kwenu wanaJf wenzangu.

Nikielekea moja kwa moja kwenye mada

Mimi na huyu bi dada ni wapenzi kwa takriban miaka 3 sasa, mwanzo tulikuwa tunaishi pamoja ila kutokana na majukum ya kikaz yeye akawa amehamia morogoro mim nikabaki Dar.

Sasa mwanzo alipohamia moro mahusiano yalikuwa nomo sana yaan iman yake kwangu ilikuwa kama mwanzo tulipokuwa pamoja, lakin baada ya mwaka kupita akaanza visanga.

Shida kubwa ya huyu bidada haniamin anasema anahis mim naruka na videm vya huku dar, nimejaribu kumshaur mara kadhaa kuachana na hzo hisia akawa anaelewa lakin baada ya mwezi au miezi kadhaa anaanza tena visanga.

Yaan akikuchek anataka ureply hapo hapo ukiminya dakika kadhaa tu anaanza visanga. Labda kwa kumuelezea "mpenzi wangu ni mrembo wa kwenda kabisa kuanzia sura mpaka figure. Ilitakiwa mim nimtilie shaka kwasababu wanawake type yake wanasumbuliwa sana na wanyangindo. Lakin cha ajabu yeye ndo ananitilia shaka mimi.

Juzi usiku tulikuwa tunachat akaniambya anapata shaka sana mim wanawake wa huku dar wananiiba kwasabu ya upole wangu.

"Alitumia neno kuniiba"

Nikajaribu kumuelewesha akawa amekubal lakin nilijua hakuridhika kwasababu alijibu "sawa nimeelewa inabid nikubali tu sasa ntafanyaje"

Ile kauli iliniumiza sana nikajisemea moyon dah sasa hii nini?

Napambana sana na fikra zangu kulitatua hili kwasababu nimechoka kila siku ni hayohayo tu. Nampenda sana mpenzi wang lakin tabia yake ya kutokuniamin inaniumiza sana.

Nilikuwa nampango nimwamby anipotezee kama anahis namsaliti lakin nashindwa kwasabu aliwah kuniamby siku nikimzingua hatoona sabab ya kuishi.

Wakuu kupendwa kuna raha yake lakin pia kuna karaha yake. Ningeandika mengi sana lakin najua kwa haya machache nimeeleweka vizur

Naomben ushaur ndugu zangu nifanyaje ili niepukane na haya?

Naomba kuwasilisha
 
Theory of economics into real life

Mmoja anitajie akianza na tafuta hela
 
Huyo ana guilty vyenye anachepuka..kwa hyo anakutengenezea mazingira ya ww kumuamini huku behind the curtain anagawa mzigo..subir yatakufika makubwa ndo utaamin kuwa ulikuwa unachezewa mchezo
 
Mfuate Moro ukazungumze nae,
Mwite kila wkend awe anakuja dsm
 
Siku zote mwizi huwa na shaka kuwa kila mtu anamuibia pia, ni hulka ya kibinadamu.

Kama hujampa sababu yeyote ya kukushuku kwanini awe na shaka.
Sasa kuanzia kesho badilisha mchezo, wewe ndio uanze kulia wivu. Mwambie una mashaka anapigwa nao huko alipo. Zile zile kauli zake zirudishe kwake. Utaona atakavyokuwa mpole maana atajua umegundua mchezo.

Mwisho ya yote, ni nadra mapenzi ya mbali kudumu hasa kukiwa hakuna ndoa. Kila la heri.
 
Hapo ni huenda
1. Anakupenda saana, hivyo hiyo anafanya kama kigingi, kukukinga usichepuke
2. Anachepuka huko hivyo anajishitukia
3. Kuna mambo umefanya yanamtia mashaka, mfani mkiwa pamoja simu yako haitoki mkononi n.k
4. Hajiamini anahisi wajanja wa dar watampiga gap.
 
Eti ukimuacha atoona sababu ya kuishii mzee wanawake ni postgraduater wa utapeli apo amekupiga pin tu ila ukimuacha ataruka na watu wengine
Amani iwe kwenu wanaJf wenzangu.

Nikielekea moja kwa moja kwenye mada

Mimi na huyu bi dada ni wapenzi kwa takriban miaka 3 sasa, mwanzo tulikuwa tunaishi pamoja ila kutokana na majukum ya kikaz yeye akawa amehamia morogoro mim nikabaki Dar.

Sasa mwanzo alipohamia moro mahusiano yalikuwa nomo sana yaan iman yake kwangu ilikuwa kama mwanzo tulipokuwa pamoja, lakin baada ya mwaka kupita akaanza visanga.

Shida kubwa ya huyu bidada haniamin anasema anahis mim naruka na videm vya huku dar, nimejaribu kumshaur mara kadhaa kuachana na hzo hisia akawa anaelewa lakin baada ya mwezi au miezi kadhaa anaanza tena visanga.

Yaan akikuchek anataka ureply hapo hapo ukiminya dakika kadhaa tu anaanza visanga. Labda kwa kumuelezea "mpenzi wangu ni mrembo wa kwenda kabisa kuanzia sura mpaka figure. Ilitakiwa mim nimtilie shaka kwasababu wanawake type yake wanasumbuliwa sana na wanyangindo. Lakin cha ajabu yeye ndo ananitilia shaka mimi.

Juzi usiku tulikuwa tunachat akaniambya anapata shaka sana mim wanawake wa huku dar wananiiba kwasabu ya upole wangu.

"Alitumia neno kuniiba"

Nikajaribu kumuelewesha akawa amekubal lakin nilijua hakuridhika kwasababu alijibu "sawa nimeelewa inabid nikubali tu sasa ntafanyaje"

Ile kauli iliniumiza sana nikajisemea moyon dah sasa hii nini?

Napambana sana na fikra zangu kulitatua hili kwasababu nimechoka kila siku ni hayohayo tu. Nampenda sana mpenzi wang lakin tabia yake ya kutokuniamin inaniumiza sana.

Nilikuwa nampango nimwamby anipotezee kama anahis namsaliti lakin nashindwa kwasabu aliwah kuniamby siku nikimzingua hatoona sabab ya kuishi.

Wakuu kupendwa kuna raha yake lakin pia kuna karaha yake. Ningeandika mengi sana lakin najua kwa haya machache nimeeleweka vizur

Naomben ushaur ndugu zangu nifanyaje ili niepukane na haya?

Naomba kuwasilisha
 
Hapo ni huenda
1. Anakupenda saana, hivyo hiyo anafanya kama kigingi, kukukinga usichepuke
2. Anachepuka huko hivyo anajishitukia
3. Kuna mambo umefanya yanamtia mashaka, mfani mkiwa pamoja simu yako haitoki mkononi n.k
4. Hajiamini anahisi wajanja wa dar watampiga gap.
Aisee ni kweli mkuu ngoja nitegeahe alarm
 
Huyo ana guilty vyenye anachepuka..kwa hyo anakutengenezea mazingira ya ww kumuamini huku behind the curtain anagawa mzigo..subir yatakufika makubwa ndo utaamin kuwa ulikuwa unachezewa mchezo
Ndo natega alarm hapa mkuu
 
Back
Top Bottom