Kumbe huku kutamu duh ni sheeeedahYaani mwanaume ndo Bikra??? Haya tena mazito mweeeh Una uhakika gani??? Changa la macho hilo ndugu
Hold on!! Yani mwanaume ndio bikira? Sa si ndio vzr umpe darasa najua kwa wanaume hao 3x2=6 tayari una ujuzi wa kumfundisha huyo kigoli wa kiume. Mwambie aache wivu
Kamwe usimwambie mtu ukweli wako wote atakuja kutumia kama silaha dhidi yako kuna mambo yanabaki kuwa yako binafsi
Asante sana kakaangu. Kwahyo hata Kama imefka hatua ya ndoa bado nisiseme ukwel wote??
Yaani mwanaume ndo Bikra??? Haya tena mazito mweeeh Una uhakika gani??? Changa la macho hilo ndugu
Daaah na wewe dada yetu kiboko!Sex mara 6 na wanaume watatu equivalent sex mara 2 kwa kila mwanamme!!
Jamaa kachanganyikiwa sababu ya lowest rate ya ku keep hao jamaa zao!Yaani mkifanya mapenzi mara 2 tu unawaacha!
Je huyu mpya utafanya nae mara ngapi kabla hujamuacha?Hapo ndipo anapo tatizika