Naomba ushauri, mke kanitoroka

tunza kibunda
point
 
Akishakuwa mfia dini achana nae. Hana mchango wowote katika maisha yako. Hata ratiba ya kula nyumbani kwako itaamuliwa na mwamposa.
 
Acha uongo wwπŸ€”πŸ€”hachepuki? Mi nimeanza kumla kitambo tu na hv ulivoondoka nlimshikisha ukuta napiga mapigo ya mwanaukome nlikuwa namslap huku namwambia mtukane mumeo....... anyway nikimruhusu atakuja mwenyw ngoja nimle mpaka nimkinai
We jamaa kwa kuvaa uhusika haujambo kbsaπŸ˜‚
 
Na wewe toroka
 
Baba, kila kitu kina mwisho. Hata mapenzi na mahusiano pia yanaishaga.
Pole.
 
Nimekutoa kwenye list ya wanaume baada ya kusema huna shaka kwenye kuchepuka kwakua hana tabia hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe ni zwazwa na usipojiongeza kutafuta mwanamke sahihi utateseka sana maiaha yako. Na mbaya zaidi mwanamke anakuwa na vitu vingi ndani zaidi yako dah umefeli sana
 
Usije ukakubali kufunga ndoa na huyo mwanamke hilo ni bomu linangoja alarm tu.
Nakukumbusha tu NDOA NI UTAPELI NA MTAPELIWA NI MWANAUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…