Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,347
- 56,072
Kwa hiyo kama mtaoana mtaishije? Sina maana umbadilishe kwani mtu mzima mwenye ndevu zake kubadilisha si rahisi.... nilichokuwa najaribu kusema ni kuwa watu wengine mara nyingine huwa wanajikuta wanajiingiza kwenye ulevi kwa sababu ya upweke. Mwamuzi ni weweNmepata kazi ya kujishikiliza ambayo inawezekana ikawa ya kudumu sasa nikianza safari za mkoani kila siku si nitaonekana siko siriaz?pia sitaki kujiaminisha kuwa nitambadilisha na kumfanya aanze kupenda maendeleo sasa hiv
Mi naona we kumbe ulikuja kuomba ushauri halafu tayari una conclusion ya kutaka kuachana, basi mwache, lakini nikwambie hakuna mwanaume asiye na mapungufu, tena bora hata huyo.Niwashukuru kwa ushauri na kunipa changamoto za kifikra.tayari nafanyia kazi mengi mliyosema.labda tu nitoe summary ya ninachochukua kutoka hapa.sidhani kama kuweka career yangu pending ili tu niishi na niwe namshawishi mwanaume mzima apende maendeleo ni matumizi sahihi ya muda wangu.kuna waliosema kwamba inawezekana kuna anachonipa au nang’ang’ania kuonekana kwenye mahusiano sio kweli.hata kama he makes me happy muda mwingi natumia nikiwa na wasiwasi na future yetu na uaminifu wake.najiona nikifika mbali na pia naona jinsi hamu yangu ya maendeleo inamkwaza yeye na atabaki kuwa mtu wa kulalamika kila siku.
Kwa mliosema nimemkosea mzazi wake adabu kwa kusema kuhusu tabia ya kuzaa hovyo mtanisamehe lakini ninaamini mambo kama haya kuna wakati yanajirudia.na asingekuwa ameshazaa na mwanamke mwingine labda ningeona utofauti ila nahisi anakoelekea kutakuwa na wengine.haya sio maisha ninayoyataka mimi.
kusema swala la kunywa pombe ni upweke pia nakataa maana mbona mimi nina upweke kuwa mbali naye lakini nahangaika tutafuta maisha badala ya ulevi.hii ni sababu tu ya kutodeal na matatizo yake.
Ndio ila usimwambie abaki na ampotezee muda wa maishaMi naona we kumbe ulikuja kuomba ushauri halafu tayari una conclusion ya kutaka kuachana, basi mwache, lakini nikwambie hakuna mwanaume asiye na mapungufu, tena bora hata huyo.
Kwa hiyo kama mtaoana mtaishije? Sina maana umbadilishe kwani mtu mzima mwenye ndevu zake kubadilisha si rahisi.... nilichokuwa najaribu kusema ni kuwa watu wengine mara nyingine huwa wanajikuta wanajiingiza kwenye ulevi kwa sababu ya upweke. Mwamuzi ni wewe
Hapo ni wewe tu kuangalia kipaumbele chako ni kipi.... career au kuanzisha familiaNdio moja ya tatizo linalofanya nisione future baina yetu.yeye ana mawazo ya kunioa ili nitulie nyumbani na kuforce niende mkoani halafu awe ananipa huo mshahara ambao ningepata.ukiacha tu kwamba hii ni dharau kwa kiasi fulani sina imani sana na kazi yake.kuna kupunguzwa kuachishwa kazi na mambo hayo.pia kuna uwezekano ninachokipata leo kesho kikaongezeka kwasababu nina uchu wa mafanikio.nitakapokubali anilipe kama mama wa nyumbani hamna kupanda cheo hapo.
Mi naona we kumbe ulikuja kuomba ushauri halafu tayari una conclusion ya kutaka kuachana, basi mwache, lakini nikwambie hakuna mwanaume asiye na mapungufu, tena bora hata huyo.
Hahaha, mkuu aache ili upate fursa ama!?Yaan huyo namfananisha na kaka yang anamisifa kama wako, mara nying huwa kufanikiwa hao ni hamna na kaka yang kaoa ila mpak sasa mke wake anajuta. Samahan lakn kama nitakuboa achana na huyo mwanaume kwan hat ukae nae umshauri huwa hawabadiliki akili zao huwa zinawatuma kujiona wao ni matawi tu
Comment yako imenikumbuka way back longido sec 2004, yani mtu akitoka likizo dar kama katoka ulaya.Sasa wewe unataka aje dar ili iweje? Watu wa dar mnaonaga kama Dar peke yake ndo wanapotakiwa kuishi watu... Ungejua mikoani watu wanafanya mambo Ya maana kuliko hata huko dar unakong'ang'ania....
Anyways Kifupi Jamaa hana mpango wowote wala haraka ya ndoa na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ambao hatufut picha za ma ex..yaan madem wote nilio.tomba ..picha zao nnazo kwenye simu.or computer.hapo vipKama huna kazi Dar jaribu kwenda huko mkoani ukae nae kwa muda mrefu ujaribu kuongea nae kwa kituo. Kuna wanaume wanahitaji mtu wa kuwahimiza kufanya mambo ya kimaendeleo. Pengine hata hiyo pombe anaiendekeza sana kwa sababu ya upweke. Ila tabia yake ya kuongelea ma ex mimi pia sijapenda... nachukia mwanaume ambaye kila muda anaongelea na ex iwe kwa uzuri au kwa ubaya....inaboa kishenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio hatak ku masterbteUsije ukarogwa kubeba na mimba yake aseee,..
Ni hiviii,kuna wadada baadhi kukaa bila mahusiano mnaona kama mmepungukiwa hivii au mtaonekana mna kasoro mpo radhi kukumbatia bomu for the sake of uonekane uko kwa mahusiano,,ole wenuu tena OLE wenu,maisha yalivyo mafupi bado ukawe na mahusiano au ndoa isoeleweka ni bora uwe single for GOD...
Hebu anza upya,tena anza na MUNGU uone kama huto meet your soul mate,.acha kung'an'gania stress,.loh!!!!
Mwanaume wa aina yako siwezi kuwa nayeJe ambao hatufut picha za ma ex..yaan madem wote nilio.tomba ..picha zao nnazo kwenye simu.or computer.hapo vip
Sis wanaume mtuache tuu
Sent using Jamii Forums mobile app