Sijafika hata hicho Kidato cha VI kwahiyo nitajizuia kuwauliza nyie wasomi embarassing questions!
Lakini kwa kutumia huo usomi wakoi, hebu tafakari haya:-
View attachment 2403358
Hao ni baadhi tu ya Lecturers wa UDSM, Idara ya Kemia...
Wangapi hapo wametokea kwenye education?!
View attachment 2403365
Hao hapo juu ni baadhi ya kutoka Idara ya Hisabati, UDSM... ni wangapi hapo wana bachelor ya education?!
Hapa chini ni kutoka Idara ya Fizikia
View attachment 2403377
Sasa nilichosema mimi ni nini kama sio hicho nilichokuonesha hapo juu?!
Na fanya kautafiti mwenyewe ufahamu huyo Mkuu wa Idara ya Fizikia, Dr. Nuru Mlyuka, bachelor na master kasoma nini!!
Btw, kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni?! JPM alikuwa Mwalimu wa Chem & Maths lakini akaenda kusoma Master and Ph.D In Chemistry!!
Hivi kwa akili yako unaamini kabisa hata kama asingeingia kwenye siasa bado angeendelea kufundisha sekondari na PhD yake?!