Weka pharmacy ya kwanza.Kwan Vp Optometry huwa pamekaza sana eeh?
.weka ufahulu wako tujue tunakushauri vipi!
Hujapata post ya advance? Au umeamua kuacha mwenyewe
Upo sahihi advance us.......e SanaNataka kwenda chuo moja kwa moja, Advance naona mrorongo mrefu. Sasa hapo kwenye course ndo bado napata utata
Yah wanakubali kulingana na Guidebook za Nacte, Diploma za Afya wanazingatia cheti cha Form four tu kwa sasa. Ambapo unapga miaka 3, Ukiishia miwili unapewa Certificate ambayo utaitumia kuupgrade ukihitaj kumalizia diploma.Kama hujasoma Advance huwezi kupata diploma, labda uende certificate kwanza ndio uende diploma??
Au kwenye kada za afya wanakubali form four kwenda Diploma??