Naomba ushauri kwa matokeo haya

Naomba ushauri kwa matokeo haya

ngotho

Senior Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
142
Reaction score
111
Wakubwa wazimaaa?

Mdogo wangu amepata CCC EGM.

Kulingana na ujuzi wenu juu ya nchi yetu na uchumi wake. Naombeni ushauri wa kumpa huyu dogo juu ya kozi nzuri ambayo itmuwezesha kujiajiri.

Yeye alikuwa anapenda agribusiness ile ya UDSM.

Kama kuna ushauri wowote hasa hasa kwaUDSM.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom