L Legrema2050 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2021 Posts 606 Reaction score 711 Aug 25, 2022 #2 Ila mikopo inawaumiza watumishi balaa, makato yakichanganya na pesa ya mkopo imeisha, mshahara unabaki mdogo kinachofuata ni maumivu makali mno.
Ila mikopo inawaumiza watumishi balaa, makato yakichanganya na pesa ya mkopo imeisha, mshahara unabaki mdogo kinachofuata ni maumivu makali mno.
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,658 Aug 25, 2022 #3 duu na aliyeweka 1/3 ajengewe mnara maana watu wanalizwa sana!
W wema sanga Member Joined Dec 10, 2016 Posts 10 Reaction score 14 Aug 25, 2022 #4 Pole sana ,mfungulie mkeo biashara angalau ugumu wa maisha upungue
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,206 Aug 25, 2022 #5 Thailand said: Deleted Click to expand... Umefuta uzi sio