Crimea Bridge
Member
- Oct 8, 2022
- 51
- 152
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa mwaka wa sita sasa na tuna watoto watatu. Nilikuwa napitia simu yake katika 'search history' ya Google nikashangaa sana kuona kama wiki mbili sasa anatafuta majina ya X zake tofauti tofauti.
Kwa kuwa ni mtu namfahamu muda mrefu na tulisoma wote, hao watu aliyokuwa akiwatafuta wengi wao ninawafahamu na walishakuwa kwenye mahusiano huko nyuma. Sasa nimeshangaa kuona kwanini anawatafuta ma X wake wa huko nyuma.
Je, kuna tukio anataka anipige nalo au ni nini? Naomba ushauri jamani.