rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,191
- 16,477
Mkuu, ajipendekeze tena!
Mwalimu Nyerere (Hayati) aliwahi kusema, nanukuu, "utii ukizidi sana unageuka kuwa uoga, uoga ukizidi unageuka kuwa unafiki, unafiki ukizidi unazaa kujipendekeza, kujipendekeza kukizidi kunazaa mauti".
Sasa unamshaurije mkuu ajipendekeze? Hii ni hatua ya juu sana ya utii, itaishia kumgharimu tu.
Shida yenu ni kujifanya wajuaji kila kitu 😅😅
Sasa mtu hufahamu vitu unahitaji kufundishwa unashindwa kujipendekeza kwa wenye ufahamu ili ufundishwe kisa mwalimu nyerere alisema.......
Kila kitu huweza kuwa sawa kulingana na mazingira na uhitaji wa wakati husika.