Naomba ushauri kutoka kwenu mapendwa!.

Naomba ushauri kutoka kwenu mapendwa!.

mtunyeni

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Jaman mm kijana nliyeingia kwenye mahusiano na binti kwa muda wa miaka 3 hv sasa lkn tangu mwez wa1 nikamuona haeleweki na ndipo nlipomfata dar kwan npo masomon moro kujua nn tatizo alicho nambia hajielew na ananiomba msamaha kwan hajickii kua na mpz ila anasictiza tuzid kuwasiliana tu kwan haelew nn kimetokea akilini mwake.nampenda kwel na skua na mwingne hvo naumia san na kukosa aman.yeye ananambia labda akili yake ikikaa vzr tutaendelea kua wapenzi na cjawah na hatujagombana,nfanyeje jamani wadau!.
 
::
Kwa kuwa moyo wa mwanadamu ni fumbo lizidilo giza.

Mpe uhuru anaotaka apate nafasi ya kuku-miss huku ukichunguza undani wa akili yake.
=
 
mpe space kama wanandoa wanachokana sembuse wapenzi mliokaa 3yrs hakuna improvement ya kuhama stage moja kwenda nyingine loh mpe muda huku ukidadisi waweza kuta umebakiza manyoya mkononi kuku alishaliwa siku nyingi,lakini uchunguzi wako ukikuta hakuna kitu kinachoendelea bora umsubirie akili yake itoke mirembe kwenye matibabu.
 
Mh!Kauzoefu kananiambia anza kufungasha virago kijana!
 
Acha ujinga wewe ushamwagwa tayari unalialia nini sasa?, nawe piga chini forthwith. By the way there are lot of women out there broda and there is no need for you at this particular moment to consume your beautiful time to think of dat bitch, hey man just get around and catch one sweet for meet.

Merci.
 
Nadhani kuna dalili za kuvunjika kwa mahusiano yenu, na hii inaweza kuwa kuna mtu kayaingilia maana katika hali ya kawaida haiwezekani kama mlishaanzisha mahusiano, then ukaacha tu pasipo sababu.

Ila usimchukie, mchukulie poa, wasiliana naye vizuri, kama ni wako mtalejeana na usisite kusahau na kusamehe.
 
labda kashaanza kumpenda mtu mwingine au kuna kasoro kaiona kutoka kwako anashindwa kukuambia ukweli.
 
Hebu jaribu kumsikiliza alicho kwambia alaf majibu utayapata!

Jaman mm kijana nliyeingia kwenye mahusiano na binti kwa muda wa miaka 3 hv sasa lkn tangu mwez wa1 nikamuona haeleweki na ndipo nlipomfata dar kwan npo masomon moro kujua nn tatizo alicho nambia hajielew na ananiomba msamaha kwan hajickii kua na mpz ila anasictiza tuzid kuwasiliana tu kwan haelew nn kimetokea akilini mwake.nampenda kwel na skua na mwingne hvo naumia san na kukosa aman.yeye ananambia labda akili yake ikikaa vzr tutaendelea kua wapenzi na cjawah na hatujagombana,nfanyeje jamani wadau!.
 
Acha ujinga wewe ushamwagwa tayari unalialia nini sasa?, nawe piga chini forthwith. By the way there are lot of women out there broda and there is no need for you at this particular moment to consume your beautiful time to think of dat bitch, hey man just get around and catch one sweet for meet.

Merci.

ameshakuwa bitch? Ngachoka.
 
Poor bastard!u dont see it coming?
 
ah upo matombo weye...dada yupo jiji la mataa.
kijana nikwambie kitu...long distance never works!!!!
kamatia totoz hapo mzumbe sua jordan
 
alafu vijana mbona mnapenda kukaa kwenye relationship miaka yote hiyo..kama huna uwezo wakuoa kwa nini uingie kwenye relationship?
kaa na demu miaka mili unakia ulishaoa.
 
Jua hakusomi, na ana mpango wa ku-update zombie moja hivi.

Hahaha!! Kongosho umenichekesha; eti zombie lol!! mtunyeni labda nikuulize, kuna jambo ama mambo amekuwa akilalamika kutoridhika nayo juu ya uhusiano wenu na hayajawa resolved?? Kama yapo basi very likely kuna mtu anamkeep busy and she now wants her freedom baada ya issues zenu kuwa unresolved. Inshort kuna vitu hajaviridhia na hii distance imempa relief hususani kama pia kuonana kwenu huwa mpaka semister iishe!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Acha ujinga wewe ushamwagwa tayari unalialia nini sasa?, nawe piga chini forthwith. By the way there are lot of women out there broda and there is no need for you at this particular moment to consume your beautiful time to think of dat bitch, hey man just get around and catch one sweet for meet.

Merci.

daaaaaaaa ......hhhhh....
 
Back
Top Bottom