Naomba ushauri kutoka kwenu mapendwa!.

Naomba ushauri kutoka kwenu mapendwa!.

Hahahaha...huyu jamaa alosema zombie huyu amenchekesha kinoma...jombaa dalili ya mvua ni mawingu kama vp jiandae na i dont think if this will work out...
 
ushamwagwa. kaza buti songa mbele utapata mwingine muda ukifika. ni staili tu ya kummwaga mwanaume ukimchoka hiyo.
 
Back
Top Bottom