JONATHAN KAMWAVAH'S
Senior Member
- Oct 9, 2012
- 184
- 24
Sabuni hizo boss, mpaka ngozi inakuwa ngumu kama ya kalumekenge. Acha vitu hivo big ni noma.
Sabuni hizo boss, mpaka ngozi inakuwa ngumu kama ya kalumekenge. Acha vitu hivo big ni noma.
unatumia muda gani kwa TICS wako kuruhusu kontena kushushwa, in minutes please.
Ni kweli kabisa%
nachokueleza ni ukweli amini usiamini sijawahi kufanya upuuzi huo hata siku moja toka nizaliwe.Sabuni hizo boss, mpaka ngozi inakuwa ngumu kama ya kalumekenge. Acha vitu hivo big ni noma.
Hahahahahahhaaaaa! Kalumekenge!!!!
Zubeda njoo toa ushuhuda
sarufi mbovu
Sina uhakika na hiyo size uliyoandika. Unene huo na urefu huo wee punda?!