Naomba ushauri kuhusu suala la utunzi wa vitabu

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Wakuu mim Bado ni mwanafunzi hivyo napenda utunzi wa vitabu viwe vya elimu/Masomo, hadithi , uchambuzi, Siasa na mengine.
Hivyo naomba ushauri na mwongozo kua kipi nifanye kufanikisha hili.

Na nikipata ushauri muda si mrefu Utunzi wangu utaonekana hata humu
 
Mtafute Nyambari Nyangwine au Erick Shigongo watakupa mwongozo kama lengo lako ni kupiga hela.

1. Ulishawahi kuandika cho chote?

2. Una kipaji cha uandishi?

3. Lugha unaijua vizuri?

4. Unapenda kusoma vitabu vya waandishi wengine? Nani ni mwandishi umpendaye sana na kwa nini?

5. Ni uwanja gani unakuvutia zaidi kati ya tamthiliya, nathari na ushairi?

Ukijibu baadhi ya haya maswali nitarudi
 
👉Ndo nataka kuandika lakin kwa sas nimeandaa Cha kuanza nacho.

2. Una kipaji cha uandishi?
👉Ndio kipaji cha uandishi ninacho hii nimeanza kuandika vitabu nikiw kidato Cha kwanz ila sikuwah kuchapa

3. Lugha unaijua vizuri?
👉Kwa lugha ninajua ndio hasa kiswahili lakin kingerez c San,
Hivyo nitaanza kutumia lugha y kiswahili kwanza

4. Unapenda kusoma vitabu vya waandishi wengine? Nani ni mwandishi umpendaye sana na kwa nini?
👉Ninaweza kusema Eric Shigongo ndo amenifanya nivutiwe kufanya hivi

5. Ni uwanja gani unakuvutia zaidi kati ya tamthiliya, nathari na ushairi?
👉Napenda kuandika tamthiliya na Hadithi zingine pia na Maswala ya eliEl
Ukijibu baadhi ya haya maswali nitarudi
 
Wakuu mim Bado ni mwanafunzi hivyo napenda utunzi wa vitabu viwe vya elimu/Masomo, hadithi , uchambuzi, Siasa na mengine.
Hivyo naomba ushauri na mwongozo kua kipi nifanye kufanikisha hili.

Na nikipata ushauri muda si mrefu Utunzi wangu utaonekana hata humu
Hongera sana... Hta me pia nina kipaji cha uandishi wa hadithi... sema tatizo mda yaan mambo mengi.
 
Ila kama ukitia Nia kabisa unaweza kuandika kidokidogo Cha Msingi ni kukaza
 
Hongera sana... Hta me pia nina kipaji cha uandishi wa hadithi... sema tatizo mda yaan mambo mengi.
[ Ila kama ukitia Nia kabisa unaweza kuandika kidokidogo Cha Msingi ni kukaza ]
 
Mtafute Nyambari Nyangwine au Erick Shigongo watakupa mwongozo kama lengo lako ni kupiga hela.

1. Ulishawahi kuandika cho chote?

2. Una kipaji cha uandishi?

3. Lugha unaijua vizuri?

4. Unapenda kusoma vitabu vya waandishi wengine? Nani ni mwandishi umpendaye sana na kwa nini?

5. Ni uwanja gani unakuvutia zaidi kati ya tamthiliya, nathari na ushairi?

Ukijibu baadhi ya haya maswali nitarudi
Mkuu mbna umepotea
 
Majibu haya hapa

1. Ulishawahi kuandika cho chote?
👉Ndo nataka kuandika lakin kwa sasa nimeandaa Cha kuanza nacho.

2. Una kipaji cha uandishi?
👉Ndio kipaji cha uandishi ninacho hii nimeanza kuandika vitabu nikiw kidato Cha kwanza ila sikuwahi kuchapa

3. Lugha unaijua vizuri?
👉Kwa lugha ninajua ndio hasa kiswahili lakin kingereza si Sana,
Hivyo nitaanza kutumia lugha ya kiswahili kwanza

4. Unapenda kusoma vitabu vya waandishi wengine? Nani ni mwandishi umpendaye sana na kwa nini?
👉Ninaweza kusema Eric Shigongo ndo amenifanya nivutiwe kufanya hivi

5. Ni uwanja gani unakuvutia zaidi kati ya tamthiliya, nathari na ushairi?
👉Napenda kuandika tamthiliya na Hadithi zingine pia na Maswala ya Elimu
 
Majibu haya hapa

1. Ulishawahi kuandika cho chote?
Ndo nataka kuandika lakin kwa sasa nimeandaa Cha kuanza nacho.

2. Una kipaji cha uandishi?
Ndio kipaji cha uandishi ninacho hii nimeanza kuandika vitabu nikiw kidato Cha kwanza ila sikuwahi kuchapa

3. Lugha unaijua vizuri?
Kwa lugha ninajua ndio hasa kiswahili lakin kingereza si Sana,
Hivyo nitaanza kutumia lugha ya kiswahili kwanza

4. Unapenda kusoma vitabu vya waandishi wengine? Nani ni mwandishi umpendaye sana na kwa nini?
Ninaweza kusema Eric Shigongo ndo amenifanya nivutiwe kufanya hivi

5. Ni uwanja gani unakuvutia zaidi kati ya tamthiliya, nathari na ushairi?
Napenda kuandika tamthiliya na Hadithi zingine pia na Maswala ya Elimu
Kama hivyo andika kwanza cha kuanza nacho kama kwel ume soma basi bila shaka ukiwa kidato cha Tatu ume jifunza riwaya ni nini tamthiria ni nini na inasifa zip
Pia utakuwa ume jifunza nini maana ya uandish taratibu za uandish nk

Natacho takiwa kufanya,... Andika andiko lako kisha mpe mtu au watu wapitie na watoe maon juu ya jambo ulilo andika

Kupitia maon yao Uta Pata cha kujifunza na kufanya marekebisho Ata wasanii ukisikia nyimbo zao za mwanza Uta cheka ila wame komaaa Sasa hakuna anae jua walipo toka
 
Asante Mkuu ngoja nianze na wazo hilo
 
Usihangaike kuandika vitabu; ulimwengu huu wa 5G na AI utashangaa sana. Afadhali muda huu tumia kusoma sana na kuchambua mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom