Ramani hiyo inatosha kwenye kiwanja au inaweza isitoshe. Hii inategemeana na ukubwa wa ramani. Ramani yako haina vipimo.
Hivyo, ramani kama hiyo unaweza kui-miximize au kui-minimize kulingana na kiwanja.
Kuhusu kuongeza, naona dinninga room imekaa mbele kabisa ya sitting room. Binafsi naona siyo poa. Pia, jiko sijui lisogee upande wa nyuma. Pia, ongeza mlango wa nyuma kwa ajili ya dharura.