Naomba ushauri kuhusu mwanamke huyu

Naomba ushauri kuhusu mwanamke huyu

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,416
Kuna mdada ninae takribani mwaka wa tatu huu, kikukweli mimi ndo nilimtoa usichana wake na nilimuaidi kumuoa.

Niliogopa sana kuacha kumuoa maana niliisi ni dhambi, ila kaishia la saba ata message kwenye simu yaani ua anaandika ovyo ovyo, sizani kama wengine au wanaelewa.

Msichana ni black beauty, karembo flan iv ua kana macho flani ivi eh, yko mkoa X kwa ndugu yake na mimi uo mkoa ndipo nilipo, na tumekua tukiongea sana ila mazungumzo yamekata.

Kiukweli nilitaka kumuoa, ila demu kaishia la saba kama hanidanganyi ika inaonekana sizani kama ata shule alienda na kazariwa 1999, ila nilimwambia nmuendeleze kielimu walau awe na ka cheti ka fani yoyote ata kama hatapata ajira.

Ila amekataa kata kata, na mimi kiukweli siwezi kabisa kuoa demu kaishia la 7, saivi tuna wiki hatuwasliani, anatuma message na kupiga simu, sijibu wala spokei.

Ata kama ni mapenzi ika kuna sehemu, lazima mtateleza tu, kusoma hataki anataka kuolewa, mimi nimefail ata kama ni mapenzi wazee, na wana tabia unaweza kusomesha na akakukimbia io sawa, utalipwa mbeleni, ila mimi nmeamua nmuache, ata nkimuita tena, ntamdanganya tu, ntalala nae ika kumuoa nmegoma ila stamwambia.

labda wazo lmuijie ghafla akubali kusoma.

NB: Elimu yangu ni degree,
 
Sina cha kukushauri Kwa sbb wewe ni mzinzi... Kazi kuwadanganya watoto wa watu... Kwani elimu nini Banaaa!! Kwahy utajiju
 
jibu lako linatosha ila elewa mkuu, nmesema siwezi
 
Ujafanya poa mzee kumdanganya binti wa watu kwan elimu ni nini mzee oa huyo
 
Huyo ningempata mimi ingependeza zaidi
 
Kuna mdada ninae takribani mwaka wa tatu huu, kikukweli mimi ndo nilimtoa usichana wake na nilimuaidi kumuoa.

Niliogopa sana kuacha kumuoa maana niliisi ni dhambi, ila kaishia la saba ata message kwenye simu yaani ua anaandika ovyo ovyo, sizani kama wengine au wanaelewa.

Msichana ni black beauty, karembo flan iv ua kana macho flani ivi eh, yko mkoa X kwa ndugu yake na mimi uo mkoa ndipo nilipo, na tumekua tukiongea sana ila mazungumzo yamekata.

Kiukweli nilitaka kumuoa, ila demu kaishia la saba kama hanidanganyi ika inaonekana sizani kama ata shule alienda na kazariwa 1999, ila nilimwambia nmuendeleze kielimu walau awe na ka cheti ka fani yoyote ata kama hatapata ajira.

Ila amekataa kata kata, na mimi kiukweli siwezi kabisa kuoa demu kaishia la 7, saivi tuna wiki hatuwasliani, anatuma message na kupiga simu, sijibu wala spokei.

Ata kama ni mapenzi ika kuna sehemu, lazima mtateleza tu, kusoma hataki anataka kuolewa, mimi nimefail ata kama ni mapenzi wazee, na wana tabia unaweza kusomesha na akakukimbia io sawa, utalipwa mbeleni, ila mimi nmeamua nmuache, ata nkimuita tena, ntamdanganya tu, ntalala nae ika kumuoa nmegoma ila stamwambia.

labda wazo lmuijie ghafla akubali kusoma.

mzee nakuelewa sana ila hujui shida tunayopata kudate na watu waliojifanya wameenda shule trust kama elimu haitunzi nyumba elimu haikujengi kifikra kama mke elimu haitakufikisha popote kinachotakiwa kwenye ndoa ni heshima mkuu mimi nina master ila kama ningekua na position kama yako ningemuweka ndani nikamfundisha maisha na sio kumpeleka shule...hawa waenda shule ni pasua kichwa maana hutamtambia kama ni kusoma na yeye anajua..nb..itakuuma sana siku ukija kusikia kuna jamaa msomi kamuoa na wala hakujali kama kafika la saba...kama anaeza kuwa mke weka ndani halafu mfundishe maisha sio shule..shule sio kitu kama huna maarifa ya kuzaliwa kichwani
 
Chukua jiko mkuu tena hao wanakua heshima hadi wanakera
 
na sku mim nkikwama itakuaje
 
Huwezi jua karama/kipawa alichopewa na Mungu kama unampenda oa tu man...anyway kama umeshindwana nae nipe mimi
tatzo sku nkikwama mm itakuaje au sku nkiondoka mimi watoto wangu wataishje
 
unataka nitengeneze familia ya omba omba mkuu, m sna guarantee ya kuishi, na familia bora ndo sasa, sasa mama akiwa ivo inategemea nini
 
Mawazo ya kizamani sana, watu tushatoka kwenye kuamini kwenye level za kielimu ila wewe bado upo huko. Kinachoshangaza unakosoa uandishi wa huyo unayemzunguzia hapa wakati uandishi wako pia sio wa kisomi kabisa.
 
Back
Top Bottom