Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Ha ha haa unapenda kuchapa watu makofi bi shosti!!!Mahusiano yasiyo na challenge hata raha hayana,mi nikiwa na mtu submissive hivyo namchapa makofi mara moja moja kumchangamsha akili kidogo, lol
Aione kaka yako best,mzima lakini wewe?
Ndg kuna tatizo kiac chake eb ona km sasa anazingua kumuoa et mapema,angekuwa mwingne c angekubali yakaisha.
Ha ha haa unapenda kuchapa watu makofi bi shosti!!!
27yrs mkuu ninatosha
Sorry kumbe only three months, basi unaota ukiamka tushttue tutoe maoni.Spare tyre wewe.
sasa dawa yake moja tuuu....mtie aibu. vunja uchumba
du pole usilazimishe ndoa, kama yeye anataka mwezi wa 10 basi subir au unamlipia mpaka gharama za kitchen party na send off yake full? sababu za msingi anazo ila akikwambia utazimia, we unataka akwambie amepata mwingine?
Habari zenyu wana jamvi,natumain weekend mnaifaidi kisawasawa,
Nna mchumba wangu tunapendana sana, tuna miezi mitatu ya uchumba,tunaishi karibu. Nilimwambia tuoane mwezi wa 4 mwakani kakataa katakata mpaka eti mwezi wa 10 bila sababu za msingi na mim nimechoka sana na upweke.
Najiuliza kwanini akatae,alafu ana misimamo sana na ujasiri,nahisi hata tukiwa kwenye ndoa akiamua kuwa hanipi,najua sitapata kweli tendo.
Nisaidien wanajamvi.
Nawasilisha.
daa,sio vzuri ivo.Akae aongee nae uskute ana sabab ya msng