Mazda kwa ujumla wake ni gari nzuri na imara sana. Nilikuwa na premacy lakini by then mafundi walikuwa wachache na spare ishu sana. Kuna mwamba mmoja alikuwa na duka la spea za mazda hapo Tabata Matumbi ndo nilikuwa naponea hapo lakini eventually niliuza kishingo upande. Siku hizi though yamekuwa mengi na mambo yamekuw rahisi kila kitu kinapatikana hela yako tu.
Zaidi ya sana kuanzia mazda versa,premancy,Axela,deminio na baba lao cx5 ...mm nina cx 5 engine 2.2 L inanipa km 18 kwa lita 1 na ton inanipa 16 sababu ya skytive tecnology mazda ziko poa sana