profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,484
- 3,127
Ndugu wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria,mimi na rafiki yangu tulianzisha kampuni/bussiness,ya electrical work,share ni 50/50% kila mmoja,lakini tulitumia vyeti vyangu vya technical.
Tuna miaka mitatu,,tuna TIN number ya kampuni,kila mmoja wetu TIN number yake imegeuzwa ya biashara,tumekata leseni,lakini mpaka sasa hatujaingiza hata shilingi moja, kila mtu yuko bize na mambo yake.
Leo nimempigia simu kuwa tukafunge kampuni,ananiambia kuwa twende TRA kama kuna madeni yeye ata clear,alafu nimwachie yeye kampuni,je inawezekana?
Wakati brela tunatambulika wote,document zote zinaonyesha tuko shared,nikimwachia yeye,siku asipolipa kodi kwa mamilion,na mimi si ntatafutwa?naomba msaada namna ya kuifunga au kujitoa au kuifuta kisheria...
Sent using Jamii Forums mobile app