Naomba ushauri kuhusu kubadili hiki nachosoma

Naomba ushauri kuhusu kubadili hiki nachosoma

167

  • Everyone

    Votes: 0 0.0%
  • Anyone

    Votes: 0 0.0%
  • Anyone

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .

JaidenG

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2021
Posts
763
Reaction score
1,074
NAOMBEN USHAURI
I'm a man ages 22
niko mwaka wa pili course ya Regional Development Planning ila sina uhakika na hii degree natamani kuacha niongee na wazazi wanipeleke hata VETA au short course itakayonifanya nikimaliza nipate mia mbili mia tatu

Naombeni ushauri wakuu nikaze hadi nitoboe au niachie hapa hapa ni 4yrs hii course na ipi angalau ya veta itanipa mia mbil mia tatu na kipi chuo husika ?

Au wenye walisoma hii vipi huko mtaani mi nilichagua tu kama option but course niliyotamani sikupata na kuchange ikashndikana
 
JAMN NAOMBEN USHAURI
I'm a man ages 22
niko mwaka wa pili course ya regional development planning ila sina uhakika na hii degree natamn kuacha niongee na wazaz wanipeleke hata veta au short course itakayo nifanya nikimlza nipate mia mbili mia tatu naomben ushaur wakuu nikaze hadi nitoboe au niachie hapa hapa n 4yrs hii course na ipi angalau ya veta itanipa mia mbil mia tatu na kipi chuo husika ?
au wenye walisoma hii vip huko mtaani m nilichagua tuh kama option but course nlotamn skupata na kuchange ikashndikana
Fanya kitu ambacho Moyo wako unakuambia
 
Acha na maneno ya motivation speaker
Achana na trending za mitandao

Piga degree yako kwa moyo mmoja kabisa
Pata gpa nzuri

Tafuta na fani za kujazilizia sasa hizo za veta ambazo pia zita nonesha cv yako

Zingataia hayo.

Nakwambia kwa sababu nimekuwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom