Naomba ushauri kuhusu kozi ya kusoma

Naomba ushauri kuhusu kozi ya kusoma

Mgboss

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
497
Reaction score
279
Salam

Naomba ushauri kuhusu kozi ya kusoma kulingana na ufaulu huu
Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English language B
Physics F
Chemistry D
Biology C
B/maths D
Naombeni ushauri kuhusu kozi nzuri kusoma kwa ajira ama kujiajiri kulingana na ufaulu tajwa hapo juu.
Asante.
 
Ushauli wangu unaweza kukukwaza lakini ni wa msaada.

1. Soma udereva VETA mpaka uhakikishe kua wewe ni dereva na jitahidi kupata leseni ya udereva daraja la juu

2. Nenda pale NIT mabibo soma Advanced driver course (grade two),piga na grade one kisha malizia kusoma Senior driver course.

3. Ambatanisha na cheti yako hiyo ya secondary education tafuta ajira kwenye mashirika.utaanza kiugumu lakini mwisho wa siku utapasua maisha na utaenda sambamba kimaisha na wasomi wengine

4. Najua unaweza ona nimekupa kazi ya kudharauliwa kuitwa dereva lakini nakushauli iepuke aibu kwenye maisha na utakuja kuniambia

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Kweli mkuu, sijakwazika bali umenipa mwanga mkuu, kwa heshima kwako ni lazima nikasomee udereva kipindi hiki japo kozi zingine ni lazima nisome kulingana na jinsi hali ilivyo ya kimaisha mkuu. Asante sana . Jah guide

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom