UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEMEMlikubaliana jumla utalipa sh ngapi
Nakwambia anao umeme wa uhakikaUpo kijiji gani?
Wasiliana na Wizara ya Mh. Makamba mpatiwe umeme, muachane na hao watu.
Nenda nao taratibu tu, waambie wakupe mkataba uliosaini nao awali nadhani utaonyesha kiwango unachopaswa kulipa, kama wako sahihi basi lipa tu umalizane nao ila kama hawako sahihi basi komaa nao.Ila umeme ninao na ni wa uhakika
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Hakuna maaandishi?Ila umeme ninao na ni wa uhakika
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Na tire and ware ya kipindi unatumia mtambo wao inalipwa na nani?Waambie waje wachukue mtambo wao na wakupe pesa yako uliyolipa.
ππππππππππ€£π€£π€£π€£Upo kijiji gani?
Wasiliana na Wizara ya Mh. Makamba mpatiwe umeme, muachane na hao watu.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa mlikubaliana kwa mdomo hakuna mkataba ambao umeanisha kiasi na muda wa malipo pamoja na mazingira mengine kama ikitokea umeshindwa kulipa au umepata majanga n.k.Ila umeme ninao na ni wa uhakika
Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Kwani mkataba si unao?waking'oa vyombo vya kutoa haki vipo.USHAURI JUU YA KAMPUNI YA ZOLA
Wanajamvi niko na tatizo nilichukua Sola ya ZOLA kwa kulipia kidogo kidogo kwanza awali nililipa 75000 then iliyobaki nalipa kwa mwezi sasa leo...
LOoooh, mkuu 'Nani'? Jina lako linatatiza sana, na naona hata tabia yako ni ya matatizo tupu!USHAURI JUU YA KAMPUNI YA ZOLA
Wanajamvi niko na tatizo nilichukua Sola ya ZOLA kwa kulipia kidogo kidogo kwanza awali nililipa 75000 then iliyobaki nalipa kwa mwezi sasa leo napiga HESABU....
Pole mkuu...washawahi kukutenda?hao ni sawa na Engie MYSOL zamani wakiitwa MOBISOL na wote Makao Makuu yao ni Arusha. Cha kufanya NG'OA huo Mtambo wao tafuta Mteja uza,kisha nenda Polisi kachukue RB kwamba ULIIBIWA.Wakija waambie uliibiwa na ulitoa taarifa Polisi waonyeshe RB,hapo watakuwa hawana ujanja wa kukufanya chochote,hao ni Wahuni na Majambazi tu kama wale MOBISOL(ENGIE MYSOL),wote ni Majambazi Baba Mmoja Mama Mbalimbali
Waambie watoe mtambo wao mkuu...umeshapata umeme sasa hicho kisola cha kuwasha taa nne cha nini...?USHAURI JUU YA KAMPUNI YA ZOLA
Wanajamvi niko na tatizo nilichukua Sola ya ZOLA kwa kulipia kidogo kidogo kwanza awali nililipa 75000 then iliyobaki nalipa kwa mwezi sasa leo napiga HESABU...