mkuu tafuta ya kusuka tu yale ma ups ya Apc ukipata la 2500w linapiga mzigo fresh sana tu, kwa mtazamo wangu ya kusuka poa sana mie niliwahi kutumia ya 1500 kwa miaka 3 bila shida yeyote mpk nilipouza baada ya kupata umeme wa Tanesco na dogo niliyemuuzia bado anaitumia mpk kesho.