Kwa hii hesabu, Usi ununue hiyo gari.laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.
Inunue iwe inakupeleka job then uwe na dereva au mkeo awe anaendesha uberNilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbali mbali niliiuza toka january mwaka huu, nna familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7 M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M
nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawah kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.
Je nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
Nakazia swali.Ina engine ya 1g?
Hivi ushawahi kuona GX100/110 unafanya huduma ya Uber?Inunue iwe inakupeleka job then uwe na dereva au mkeo awe anaendesha uber
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kama unapanga bajeti ya mafuta nunua Vits,IST and the likes. GX100 na wenzie kupanga bajeti ya mafuta ni mtihani.Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbali mbali niliiuza toka january mwaka huu, nna familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7 M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M
nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawah kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.
Je nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
hiyo gari nzuri,usiiache,mambo ya bajeti ni ya Mungu,atafungua milango kadri ya mahitaji yako...Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbalimbali niliiuza toka january mwaka huu, nina familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M.
Nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawahi kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.
Je, nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
On of the best comment ever.hiyo gari nzuri,usiiache,mambo ya bajeti ni ya Mungu,atafungua milango kadri ya mahitaji yako...
Achukue alafu baada ya miezi miwili alete dodoso la mrejesho hapa..On of the best comment ever.
Wewe kweli upo kwenye kundi letu wanaume na si watoto wa kiume. Mleta mada, chukua hii.
Achukue alafu baada ya miezi miwili alete dodoso la mrejesho hapa..