Naomba ushauri kuhusu clinical medicine

Naomba ushauri kuhusu clinical medicine

duh... kweli afya imedharauliwa sasa...!! division four.?
Uwe unaelewa milolongo ya mambo, sio division kikubwa ninperfomance ya masomo yanayohitajika.. Unaweza kuwa umepata dvsn 1 A za masomo ya Art then science ukazingua na usiwe na vigezo vya kusoma afya.
Ila kuna MTU ana dvsn 4 let say 26 na kafaulu masomo yote ya science huwezi kumpandia..
 
Back
Top Bottom