Naomba ushauri kuhusu biashara yangu

Naomba ushauri kuhusu biashara yangu

nbayoungboy never broken

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2025
Posts
383
Reaction score
365
Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara.

Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya mwaka mzima kwa kuwa eneo lilikuwa katikati ya shughuli. Nikalipa shilingi laki saba kwa mwaka.

Nikaamua kufanya biashara ya nafaka kama mchele, maharage, n.k. Nikanunua mizani na vifaa vyote muhimu.

Biashara ikaanza na mauzo yakawa ya wastani – kuna siku nauza elfu 20, nyingine elfu 50, mara nyingine elfu 70 au hata elfu 10 – yote ilitegemea na wateja waliokuwa wanajitokeza, pengine bahati mtu anaweza kuja kuchukua kilo nyingi.

Mauzo yakaanza kupanda hadi kufikia elfu 150 hadi elfu 180 kwa mwezi, na hata mara tatu ya hapo kulitegemea msimu.

Nikaona ni vizuri nijiongeze, nikaweka ngazi kama ya duka na kuanza kuweka bidhaa za elfu 6 juu ya ngazi hiyo.

Lakini changamoto ilikuja pale mauzo yalipoanza kurudi kule kule kwenye elfu 10 kwa siku. Nikawa najiuliza – je, niendelee kuongeza bidhaa na kujaza duka, au niuze bidhaa zote nilizonazo kwenye ngazi zimalizike kabla ya mwaka kuisha?

Nione faida na hasara zake, halafu nikae chini nihesabu kama baada ya kulipa fremu na matumizi mengine bado hela itaniruhusu kuendelea na biashara au nifunge na nitafute shughuli nyingine?
 
Unauzia uswahilin sana nn?
 
Mjomba kuanza biashara Hadi kuitambulisha kitaa ni mchakato unao chukua mda mrefu,vumilia na kuwa mbunifu tu,mfano unaona jirani yako anauza 2000 mchele huo huo,wewe uza 1950 upate mzunguuko mkubwa mwisho wa siku faida unapata.Hakuna kukata tamaa
 
Hongera Kwa Kuanza Biashara Na Kuona Matokeo Chanya Kwenye Hio Biashara Yako...

Umeeleza Vizuri Kabisa Namna Biashara Yako Ilivyokua Inakua Ila Kuna Jambo Haujaliweka Sawa Uwenda Ikawa Ndio Chanzo Cha Changamoto Zinazoendelea Kwasasa...

Wahenga Wanasema "Kujua Chanzo Cha Tatizo Ni Tiba Pia" Ila Haujatueleza Sababu Zipi Zimepelekea Biashara Yako Kushuka Mauzo Licha Ya Ongezeko La Bidhaa...

Watalaam Wa Biashara Wasema Mteja Anapokuja Dukani Kwako Kuna Vitu Vingi Anaviangalia Na Sio Kununua Tu Ila Wamiliki Wengi Wa Maduka Wanaamini Biashara Ni Kuuza Tu 👉 Hili Ni Kosa Kubwa Sana Kwenye Biashara Yako Kama Unania Ya Kuwa Mfanyabiashara Mkubwa...

Mteja Anapokuja Kwako Huwa Anahitaji Vitu Vifuatavyo...

1️⃣Kusikilizwa

2️⃣Uharaka Wa Kuhudumiwa

3️⃣Bei

4️⃣Ubora Wa Bidhaa

5️⃣Uwingi/Ujazo

6️⃣Ushauri

7️⃣Motisha

8️⃣Kupata Huduma Bora

9️⃣Kupata Matokeo Sawa Na Hitajio Lake

🔟Kupata Suluhu La Matatizo Yake

Jipe Muda Wa Kujitathamini Ujue Wateja Wako Wanataka Nini...???

Kama Kuna Mapungufu Unayo Jitahidi Kupambana Nayo Kwasababu Uwenda Mwanzo Kuna Vitu Ulikua Unazingatia Baada Ya Kuona Mauzo Yanapanda Ukaanza Kujisahau...

Usiruhusu Kukata Tamaa Au Mawazo Ya Kuamisha Biashara Yaani Ukaamishie Sehemu Nyingine Aiseee Utakuja Kuyumba Sana Kwasababu Unaenda Kupambana Na Changamoto Mpya Wakati Tayari Ulishanza Biashara...

Pambana Hapo Hapo Utakuja Kukaa Sawa Kwasababu Tayari Ushaanza Kuwa Mwenyeji Na Hiyo Sehemu Na Tayari Ushajua Wateja Wako Wanahitaji Nini...?

Hizo Changamoto Za Kupanda Na Kushuka Sio Kwako Tu Hiyo Ndio Tabia Ya Biashara Kwahiyo Tambua Changamoto Hiyo Haikimbiwi Kwa Kufunga Biashara Au Kuamisha Biashara Bali Kwa Kufanya Utafiti Yakinifu Ujue Makosa Yako Kisha Yarekebishe Kisha Endelea Bila Kuchoka...

Nikutakie Kila La Kheri Katika Mapambano Yako Naamini MWENYEZI MUNGU Atakusimamia Na Utapanda Tu Toa Sadaka Wasaidie Wenye Huhitaji Na MOLA Atakuzidishia Pale Penye Mapungufu 🙏
 
Ahsante sana kwa jibu lako hili hata mm umeniponya 🙏🙌
 
Mjomba kuanza biashara Hadi kuitambulisha kitaa ni mchakato unao chukua mda mrefu,vumilia na kuwa mbunifu tu,mfano unaona jirani yako anauza 2000 mchele huo huo,wewe uza 1950 upate mzunguuko mkubwa mwisho wa siku faida unapata.Hakuna kukata tamaa
Nashukulu mkuu kwa ushari wako
 
Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara.

Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya mwaka mzima kwa kuwa eneo lilikuwa katikati ya shughuli. Nikalipa shilingi laki saba kwa mwaka.

Nikaamua kufanya biashara ya nafaka kama mchele, maharage, n.k. Nikanunua mizani na vifaa vyote muhimu.

Biashara ikaanza na mauzo yakawa ya wastani – kuna siku nauza elfu 20, nyingine elfu 50, mara nyingine elfu 70 au hata elfu 10 – yote ilitegemea na wateja waliokuwa wanajitokeza, pengine bahati mtu anaweza kuja kuchukua kilo nyingi.

Mauzo yakaanza kupanda hadi kufikia elfu 150 hadi elfu 180 kwa mwezi, na hata mara tatu ya hapo kulitegemea msimu.

Nikaona ni vizuri nijiongeze, nikaweka ngazi kama ya duka na kuanza kuweka bidhaa za elfu 6 juu ya ngazi hiyo.

Lakini changamoto ilikuja pale mauzo yalipoanza kurudi kule kule kwenye elfu 10 kwa siku. Nikawa najiuliza – je, niendelee kuongeza bidhaa na kujaza duka, au niuze bidhaa zote nilizonazo kwenye ngazi zimalizike kabla ya mwaka kuisha?

Nione faida na hasara zake, halafu nikae chini nihesabu kama baada ya kulipa fremu na matumizi mengine bado hela itaniruhusu kuendelea na biashara au nifunge na nitafute shughuli nyingine?
Elfu 20 - 50 kwenye biashara ya nataka hiyo siyo site nzuri kwa hiyo biashara labda kama uko kijijini sana! Labda ungetueleza uko mji gani au kijiji gani?
 
Back
Top Bottom