Sure, Mitsubishi pajero zile injini zake za petrol nadhani wanaita Gdi nasikia ukishaifungua tu wanadai performance yake shida... mi kuna jamaaa angu anayo alitia injini ya prado 1kz mzee ni balaaa...
Gari ni durable koz tushapita nalo sehemu ngumu sana...
Ila shida yake ni upatikanaji wa spares zake baadhi zikifa koz watumiaji wa hayo magari sio wengi... yaani kitu kidogo unatafuta hadi sometimes unaagiza dar au Nairobi kwa sisi tunaoishi mikoani...