Pima udongo kwanza kujua yaliyomoMimi ni mkulima ninashamba la heka 20 kipi nilime kati ya mahindi na alizet ila ardhi yake ni kichaga
Kama ni kichanga panda alizeti au gawanya hela 7 mahindi 13 alizeti. Lakini Kama utatumia mbolea unaweza kupanda zao Moja eneo lote