Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Tafuta RAV4 YA 2WD(TWO WHEEL DRIVE)Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumia
Tafuta RAV4 YA 2WD(TWO WHEEL DRIVE)Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumia
Upo mkoa gani?Msaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kdgo,pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi.
Baada ya miaka miwili we ndio unamtafuta Leo?Upo mkoa gani?