Naomba ushauri katika hili. Je, niandike barua?

Naomba ushauri katika hili. Je, niandike barua?

Stretcher

Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
34
Reaction score
24
Wadau habarini

Nina changamoto ya kujiuliza je nimwandikie historia ya suala langu katibu mkuu kiongozi au nimwandikie maneno gani aweze kulegeza masharti ya kuniajiri.

Nimepata barua toja kwa katibu mkuu wizara fulani inanisgauri nimwandikie katibu mkuu kiongozi Kama nilivyotangulia kusema kutokana na kushindikana kurejeshwa kazini.
 
Back
Top Bottom