Naomba ushauri kati yw kozi zifuatazo: Medical laboratory na uwalimu wa sayansi wa masomo ya (chemistry na mathematics)

joku

New Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu jamani

Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics).

Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee MEDICAL LABORATORY zl sanilikuwa naomba ushauri eenu kati ya kozi ya MEDICAL LABORATORY na uwalimu wa CHEMISTRY na MATHEMATICS Bora nikasomee nn kati ya izo mbili mana nipo njia panda mpaka sasa
 
Kasome Medical Laboratory ni nzuri zaidi.
 
Kwanza angalia unapenda nini kwa Afya kama unataka uingie kwenye mfumo haraka soma Nursing

Ila kwa hizo mbili Medical lab ni bora zaid though nimesoma hiyo pia Mkuu
 
Habari zenu jamani

Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics).

Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee MEDICAL LABORATORY zl sanilikuwa naomba ushauri eenu kati ya kozi ya MEDICAL LABORATORY na uwalimu wa CHEMISTRY na MATHEMATICS Bora nikasomee nn kati ya izo mbili mana nipo njia panda mpaka sasa
Kasome medical lab
 
JIFUNZE kutambua kozi za ccm na kozi tamu
 
Kama unataka ajira za haraka na ufe maskini soma hizo course ila kama unataka utajiri achana nazo
 
Habari zenu jamani

Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics).

Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee MEDICAL LABORATORY zl sanilikuwa naomba ushauri eenu kati ya kozi ya MEDICAL LABORATORY na uwalimu wa CHEMISTRY na MATHEMATICS Bora nikasomee nn kati ya izo mbili mana nipo njia panda mpaka sasa
Nenda kasome Medical Lab.
Diploma ya ualimu kwa sasa unaenda fundisha shule za Primary sio Secondary.
 
1000345646.jpg
 
Back
Top Bottom