Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Wadau salaam!
Naomba ushauri kati ya gari mbili hizo tajwa hapo juu ipi ni nzuri in terms of:
1.Utumiaji mafuta
2. Speed
3. Kudumu/Uimara
4. Spea/Service
5. Comfortability
6. Kutulia barabarani
NOTE:
Kwa mimi si mpenzi wa Toyota, naomba nisipewe ushauri wowote kuchukua gari ya Toyota kama mbadala. Kwa wale wajuzi wa gari hizi naomba ushauri wenu.
Mfano wa magari yenyewe ni kama haya hapa chini: