LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,317
Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu. Kuna mrembo mmoja tuko naye ofcn kwa muda mrefu sasa. Juzi alinishangaza wakati tunakula chakula cha mchana katika mgahawa mmoja aliniambia anataka kuzaa na mimi japo mtoto mmoja kwakuwa umri wake sasa umekwenda (39 years) na hajapata mtu wa kumuoa kutokana na watu kumuogopa kutokana na elimu yake (Ph dada)..Sasa naomba ushauri wenu nifanye maamuzi gan?? NIpeni ushauri tu sio maneno ya ovyoovyo....nilimwambia nitamjibu asubiri kidogo....
Zaa naye tu kaka, coz inawezekana hata hao watoto watatu sio wa kwako