Naomba ushauri kabla cjafanya maamuzi..??

BIMBILISAMAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
291
Reaction score
58
Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu. Kuna mrembo mmoja tuko naye ofcn kwa muda mrefu sasa. Juzi alinishangaza wakati tunakula chakula cha mchana katika mgahawa mmoja aliniambia anataka kuzaa na mimi japo mtoto mmoja kwakuwa umri wake sasa umekwenda (39 years) na hajapata mtu wa kumuoa kutokana na watu kumuogopa kutokana na elimu yake (Ph dada)..Sasa naomba ushauri wenu nifanye maamuzi gan?? NIpeni ushauri tu sio maneno ya ovyoovyo....nilimwambia nitamjibu asubiri kidogo....
 
Angalizo:

1. Kama unamwogopa Mungu, na kama unampenda Mke wako kweli kweli.....hutazaa naye KAMWE.

2. Otherwise, kama wewe ni Muislam umwoe ili awe mke wako halali wa pili ili mpate kuzaa viumbe halali mbele za wanadamu na Mwenyezi Mungu; na

3. Kama wewe ni Mkristo, basi sahau hilo suala kwakuwa hakuna ndoa mbili kwa wakati mmoja.

Nakutakia kazi njema, na uvishinde vishawishi vya huyo dada (old woman (39yrs)....by keeping good love and companion to your good wife.
 
Mbona kama anataka kuharibu ndoa za wengine wakati yeye anataka ndoa pia?
Tell her to keep waiting the man will come. Ama akatafute widower.
Bro lakini si umeoa tayari? Mbona bado macho juujuu?
 
Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu. Kuna mrembo mmoja tuko naye ofcn kwa muda mrefu sasa. Juzi alinishangaza wakati tunakula chakula cha mchana katika mgahawa mmoja aliniambia anataka kuzaa na mimi japo mtoto mmoja kwakuwa umri wake sasa umekwenda (39 years) na hajapata mtu wa kumuoa kutokana na watu kumuogopa kutokana na elimu yake (Ph dada)..Sasa naomba ushauri wenu nifanye maamuzi gan?? NIpeni ushauri tu sio maneno ya ovyoovyo....nilimwambia nitamjibu asubiri kidogo....

Ana Ph D halafu mnafanya ofc moja kwa mda mrefu. Thread yako haifanani na wasifu wako mkuu
 
jamani!!!mfyuuuu zaa uone kama hujakatwa p.umbu
 
Subiri, atakwambia mara ya pili pengine mara ya kwanza alikua anakutania.. Mara ya Pili atakwambia tena, mwambie nipe muda. Akikwambia mara ya tatu MWAMBIE TWENDE TUKAGEGEDANE maana watoto NI ZAWADI TOKA KWA BWANA!!
 
Mbona kama anataka kuharibu ndoa za wengine wakati yeye anataka ndoa pia?
Tell her to keep waiting the man will come. Ama akatafute widower.
Bro lakini si umeoa tayari? Mbona bado macho juujuu?
Aisee nitamwambia lakin dar cjui nianzaje..manake amesema kuhusu mtoto kila kitu atagharamika yeye...
 
Subiri, atakwambia mara ya pili pengine mara ya kwanza alikua anakutania.. Mara ya Pili atakwambia tena, mwambie nipe muda. Akikwambia mara ya tatu MWAMBIE TWENDE TUKAGEGEDANE maana watoto NI ZAWADI TOKA KWA BWANA!!
Hata mi nafikiria kumgegeda lakin moyo unasita yf asije akajua......
 
Wewe ni sperm donor?
Aaaaah umenifurahisha, hapana ila nilikuwa naomba ushauri c unajua madada nyie mko wachache na mwenzenu ndo anakaribia ufote huo....mwishowe ataambiwa awezi shika mimba tena kutokana na umri..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom