Naomba ushauri juu ya printer ya kununua

Naomba ushauri juu ya printer ya kununua

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
174
Wasalaam waungwana!
Katika kujaribu kuendana na kasi ya Mh. Rais nimefikiria kufungua stationary kama kazi inayoendana na taaluma yangu ya ualimu nimeona itanifaa.
Katika hilo basi naomba ushauri juu ya printer ya kununu kwa kuanzia ambayo haitanitesa kiuendeshaji lakini pia gharama yake iwe nafuu.
Awali nilifikiria zile hp deskjet 3 in 1 kutokana na unafuu wa bei yake lakini nikaambiwa ni cheap to buy but expensive to run. Ntaomba ufafanuzi pia katika hili kwa wajuvi.

Asanteni. Naomna kuwasilisha
 
Back
Top Bottom