adviceseeker
Member
- Jul 13, 2013
- 5
- 0
- Thread starter
- #21
miaka saba iko hivi nilianza nae O'level na mwaka huu ndio kamalizia chuo kozi ya miaka mitatu...
Wana JF naomba mnisaidie mawazo na maamuzi.
Mimi nina msichana ambae ni mpenzi wangu tuna miaka saba kwenye mahusiano na mikwaluzano ipo ya hapa na pale ila tunaimaliza.Sasa kuna kipindi nilitaka kusafiri nikawa nimemtambulisha msichana kwa ndugu yangu wa karibu wa kiume umri sawa ikiwa nw kupeana namba za simu kama shemeji,baada ya utambulisho mwanzo kulikuwa hakuna uficho wakionana hata njiani wataniambi baadae nikasafiri nyuma wakawa wakutana na kutoana out sometimes wanasema wananitaharifu sometimes hawaniambii.Nikaja kurudi kutoka safari mambo nikakuta yamebadilka unajua msichana uliekaa nae muda mrefu kitu kikibadilika utaona dalili na kujua.Ikaanza mawasiliano baina ya huyo ndugu yangu yakawa siri kubwa na kifanikiwa kushika simu inakuwa balaa nikilazimisha kwa nguvu nakuta wanachat ndugu yangu pia akawa anaenda kwa huyo msichana kimya kimya nikigundua nikimuuliza msichana ananiambia angeniambia nikawa nimemaind sana then nikamuambia na kumuonya kuwa sitaki uficho tena na ndugu yangu pia nilimuambia the same,kuna siku msichana akampa kitu kikubwa ndugu yangu kimya kimya ila mimi hicho kitu nikaja kukijua maana nakifahamu na mbaya zaidi ndugu yangu alikileta nyumbani kwa kuficha nilipohisi nikampigia simu nakumuambia nimeona hiki na hiki alishituka na kuniambia samahani angeniambia then katika chunguza chunguza zangu nikakuta ndugu yangu kabadilisha jina la huyo msichana....
Nimeelezea kwa kifupi tu nisiwachoshe je mwana JF ungenishauri nifanyeje kama ungekuwa wewe?
achana nae msaliti huyo
Piga chini miaka 7 uliochezea hiyo kitu yake inatosha. Utamu wote umeula
Mwachie huyo ndugu yako ale makombo yako. Tafuta tena mwingine.
"Sizitaki mbichi hizi".
miaka saba iko hivi nilianza nae O'level na mwaka huu ndio kamalizia chuo kozi ya miaka mitatu...
Jaman! Upewe ushauri uachanenae au uendeleenae?
Kama kukupenda hakupendi, ni vipi tukushauri uendelee nae?
Kama kumuacha ni ni yeye amekuacha kwa vitendo, au ni lazima akuambie hakutaki?
Au unataka tukupe njia ili aachane na huyo ndugu yako? Kumbuka mapenzi hayalazimishwi! Embu muachie ndugu yako ale afaidi mbunye, eti miaka 7 bado unamwita mpenzi! Khaa!