Naomba ushauri juu ya hii biashara inayotaka niwe mwanachama kwa laki 5

AganoJipya

Member
Jan 24, 2019
29
37
Natumaini mko poa,

Niingie kwenye mada me ni mwanafunzi wa elimu ya juu nipo hapa mjini niseme baada ya pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na tangazo la ujasiliamali motion in grobal nikahitaji kujua zaidi wanadeal na nini haswa.

Hivyo nikaanza kufuatilia nini wanachofanya hasa katika field ya ujasiliamali kwa kua nashauku ya kufanya shughuli yeyote ya kujiingizia kipato hapa mjini sikuona shida kuhudhuria semina yao ya kibiashara ila hapo kwenye semina jamaa wanajipambanua sana namna ya kufanya biashara kupitia networking marketing na kwa kila mwanachama minimum requirement ni 500000tsh ila kwangu mimi nakuhudhuria kote hizo semina bado ufanyazi kazi wa system yao haujaniingia akilini mana nahisi kupigwa pigwa hivi.

Na ukizingatia me ni mwanafunzi swali ninalojiuliza nikipigwa hizo pesa ntaishije hapa mjini.Wakuu naombeni ushauli juu ya hii fursa
#@aganoJipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hizo biashara aisee...
Unaenda kupoteza muda na pesa yako ni bora ujifunze forex hata ukipoteza pesa utakuwa umeongeza thinking capacity yako kwasababu inahitaji kujisomea ila hiyo yako uongo uongo ndio msingi wa hiyo biashara,wanajisifia hatari ukiangalia kiatu alichovaa kimeisha visigino vyote..

Halafu biashara zipo kibao za kufanya aiseee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hapo
Screenshot_20190224-204913_Facebook.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini mko poa,

Niingie kwenye mada me ni mwanafunzi wa elimu ya juu nipo hapa mjini niseme baada ya pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na tangazo la ujasiliamali motion in grobal nikahitaji kujua zaidi wanadeal na nini haswa.

Hivyo nikaanza kufuatilia nini wanachofanya hasa katika field ya ujasiliamali kwa kua nashauku ya kufanya shughuli yeyote ya kujiingizia kipato hapa mjini sikuona shida kuhudhuria semina yao ya kibiashara ila hapo kwenye semina jamaa wanajipambanua sana namna ya kufanya biashara kupitia networking marketing na kwa kila mwanachama minimum requirement ni 500000tsh ila kwangu mimi nakuhudhuria kote hizo semina bado ufanyazi kazi wa system yao haujaniingia akilini mana nahisi kupigwa pigwa hivi.

Na ukizingatia me ni mwanafunzi swali ninalojiuliza nikipigwa hizo pesa ntaishije hapa mjini.Wakuu naombeni ushauli juu ya hii fursa
#@aganoJipya

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiitiwa fuls wewe ni fulsa
 
MKUU anza forex huta jutia
 
Alliance in motion sijajiunga lakini ninatumia bidhaa zao dawa ya mswaki, ni ghali lakini iko vizuri sana!
 
alliance sio uongo Wala utapeli.... si sawa ukilinganisha na vitu vya hovyo kama Deci. alliance inakutaka uwe open minded positive ujiamini na kuamini biashara yako. tatizo watu wanapenda urahisi. hakuna biashara isiyohitaji muda wako... kujifunza. etc. mimi ni member wa alliance na Nimejifunza mengi tangu mwisho mwa mwaka 2018 nilipojiunga. msipotoshe kwenye ukweli. ndugu kama ulifunzwa vizuri ni kosa kubwa sana kuja kuwauliza watu ambao hawakuwepo ulipokuwa unaelekezwa. wewe ndiye uliye tambulishwa fursa ni jukumu lako(kama upo serious) kupata information kutoka right sources. kuna watu waliofanikiwa unaweza kuwasiliana nao uwasikie walifanikiwa vp. for more advice contact me ahmedzamea@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hamna fursa, bali wewe ndio umepatikana kama fursa.

Toka hapo ulipo faster.
Natumaini mko poa,

Niingie kwenye mada me ni mwanafunzi wa elimu ya juu nipo hapa mjini niseme baada ya pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na tangazo la ujasiliamali motion in grobal nikahitaji kujua zaidi wanadeal na nini haswa.

Hivyo nikaanza kufuatilia nini wanachofanya hasa katika field ya ujasiliamali kwa kua nashauku ya kufanya shughuli yeyote ya kujiingizia kipato hapa mjini sikuona shida kuhudhuria semina yao ya kibiashara ila hapo kwenye semina jamaa wanajipambanua sana namna ya kufanya biashara kupitia networking marketing na kwa kila mwanachama minimum requirement ni 500000tsh ila kwangu mimi nakuhudhuria kote hizo semina bado ufanyazi kazi wa system yao haujaniingia akilini mana nahisi kupigwa pigwa hivi.

Na ukizingatia me ni mwanafunzi swali ninalojiuliza nikipigwa hizo pesa ntaishije hapa mjini.Wakuu naombeni ushauli juu ya hii fursa
#@aganoJipya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom