shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 333
- 565
hahahaaLeo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.
To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.
Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .
Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.
Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Hili ni tatizo la kiufundi tu,Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .
Unamaanisha mlango gani wewe🤔Hili ni tatizo la kiufundi tu,
Nadhani ni kwenye mambo ya hinges, pia kitasa chako kibovu hakifungi mpaka utumie ufunguo....(nadhani)
Mimi mwenyewe mlango wangu upo hivi hivi
Pendaelli hii imekaaje?
Nimelipa kodi mwaka mzima , Mzee nahamaje hapoSi uhame? Mimi naona majibu unayo, either uroge au usali sana.
Baada ya kufika uliwasalimu wazee wa hapo kwa nidhamu🤔Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.
To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.
Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .
Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.
Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Icebreaker umezoea kuvunja barafu sio kila kitu cha kuvunja vingine ni kujifunzaVunja huo mlango uutoe kabisa,
Problem solved.
Hili ndio linaweza kua linasababisha mlango wake kujifungua wenyewe?Joined 2015
Asante kwa kuniita Mpumbavu , nimejaribu kutumia scientific methods zote na laws za science sijapata majibuUshauli wangu wewe ni mpumbavu. Siutafute fundi, milango samtimes ata ukifunga na funguo unakuta uko wazi tatizo zinakuwa bawaba zimechoka au zinataka Gris.
Nilidhani hivyo kama wewe na kujaribu kuita mafundi (zaidi ya mmoja) ila tatizo lipoHili ni tatizo la kiufundi tu,
Nadhani ni kwenye mambo ya hinges, pia kitasa chako kibovu hakifungi mpaka utumie ufunguo....(nadhani)
Mimi mwenyewe mlango wangu upo hivi hivi
Pendaelli hii imekaaje?
Mafundi wakasemaje?Nilidhani hivyo kama wewe na kujaribu kuita mafundi (zaidi ya mmoja) ila tatizo lipo