Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

Mar 13, 2023
97
196
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna dalili ya utando wa damu kutoka) kama ilivokawaida(na hiyo sex hadi kupewa amesotea mwaka Sasa)

Sasa hakutaka kumuoji sana mwenzie, alikausha kibabe.

ila amekuja kwangu kuomba ushauri juu ya hilo jambo,

Lakini mimi nachojua ni kwamba Bikira lazima damu itoke(Kwa ninavojua Mimi-kwa experience zangu mbili.) Hivo sijamjbu nimemwambia anipe muda nitamjibu.

Note: Walipanga kuishi wote Kwa kigezo hicho Cha Bikira

Swali: Kuna Bikira kavu kavu ya maji bila damu(sababu zake n zipi?!)
Kama haipo atemane nae au amwache?!

Mnisaidie majibu nimwelekeze mwananetu.
 
Hio ni traditional view...fuatalia mtandaoni mambo ya bikra kutoka kwenye medical websites utaelewa zaidi.. ni sawa na zile story za ke kuwa kubwa demu akiliwa Sana.. fata information sahihi uelewe mambo mtandaoni na mtaani uwongo ni mwingi kuliko ukweli
 
So ipo ya maji syo damu?!
 
Embu ikumbukwe hicho ndo kigezo kikuu walichokubaliana ili waishi wote na walikaa kavu mwaka mzima bila sex coz waliamua kuheshimu hiyo bikra
Make katika hali ya kawaida Ke alidanganya

Binafsi mshauri jamaa amuulize kwanini Ke alidanganya kama ni sababu zina mashiko anaweza endelea nae
Ila binafsi ningepiga chini
 
Sawa mtaalamu ko Bikira ya maji hakuna
 
Back
Top Bottom