Utakua ni ww mwenyewe.kwanza pole sana pili waweza update Maombi yako kutokana na yale ya awali naamin utapataana point 11 ya hkl kakosa round one ya selection katika vyuo vya mzumbe udsm na udom anataka ushaur wa vyuo na faculty ambazo ni less competence anazoweza apply kwa second round please mpe advice mpen ushaur wakuu ni mdogo wangu huyu
Jaribu Mwalimu Nyerereana point 11 ya hkl kakosa round one ya selection katika vyuo vya mzumbe udsm na udom anataka ushaur wa vyuo na faculty ambazo ni less competence anazoweza apply kwa second round please mpe advice mpen ushaur wakuu ni mdogo wangu huyu