Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

Kama ni kwa matumizi ya chuo tu, kikubwa angalia storage.

Storage ambayo ni uhakika huwezi kuijaza hata kama uwe na vitabu au slides nyingi kiasi gani ni 64GB.

Pia, unaweza ku'consider' RAM. Ila mara nyingi simu zenye Storage ya 64GB zinakuwa na RAM ya 4GB. Ambayo ni bomba.

Hivyo, bajeti ya laki Tano inatosha kabisa kununua simu inayofaa kwa matumizi ya chuo. Na zipo nyingi, inategemea na preference yako tu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Tafuta Samsung A series,haya matoleo yake ni mazuri yenye betri zinazo kaa na chaji kwa mda kidogo,storage iko vizuri kuanzia A10 kwenda juu

Angalizo,kama utahitaji hizi series,nenda kwa mawakala wa samsung wenye ambao kwa tz wapo Dom,Arusha,Mwanza na Dsm kama sijakosea
 
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua kwa ajili yamatumizi ya mwanachuo.
Cut half of your budget

Agiza tablet kali China. Unaweza kuchagua yenye windows 10 au Android zote zinakuwa na program za Office.

Wanafunzi wenzako lazima wakutamani aiseeee.
 
aina gani ya laptop na specification zake?
Kwa laki tano anaweza pata mtumba wenye specification kama

RAM:4GB
STORAGE:500GB
PROCESSOR:Intel generation yoyote ile au AMD

Kwa maana nakumbuka niliwahi chukua mtumba kwa jamaa angu kariakoo wa HP kwa laki tatu na nusu na ulikuwa bora tu kwa matumizi ya kawaida
 
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua kwa ajili yamatumizi ya mwanachuo.
Screenshot_2021-12-21-07-40-33-370_com.alibaba.intl.android.apps.poseidon.jpg
 
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua kwa ajili yamatumizi ya mwanachuo.

Mkuu Kama pesa kwako sio shida basi nunua simu Kama Samsung s10 au note 9 dukani nafikili ni used abroad ila charge mzee Baba haikai sana kiivyo.
Lakini kama ni mtu wa kuzichanga then ndo inaikamata hiyo 500k nakushauri nunua laptop ya mtumba ya 300k yenye ram 3 na hdd 300gb kisha utabaki na change ya 200k chukua ka Samsung A series kenye 4G network na storage 32.
Hapa asignment unafanya kwa laptop na simu inakusaidia kuperuzi internet.
Ukichukua huu ushauri wangu utakuja nishukuru
 
Mkuuu nilikua ni wazo hili la kununu note 10 Samsung..ila hera haitoshi..only nina laki tano
 
Kwa hio najaribu kutafuta simu mbadala yenye kua na sifa like note 10..with big display..storage hata 64 sio tatzo..
 
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua kwa ajili yamatumizi ya mwanachuo.
Ushauli=Ushauri
 
Mkuuu nilikua ni wazo hili la kununu note 10 Samsung..ila hera haitoshi..only nina laki tano
Hera
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua kwa ajili yamatumizi ya mwanachuo.
Fran

Elimu yetu ni changamoto sana kama mtu anayejiita mwanachuo anaandika uto wa namna hii
 
Uto..ndio kitu gani?
Mkimaliza uandishi, mtakuja kwenye mwandiko.
Kiufupi tuheshimiane tu
 
Back
Top Bottom