Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
kamata hapa http://uppit.com/jqbem7yxll5g/dc-unlocker_client-1.00.0764.exeKama unauliza combat lugalo?!
Nitupie hapa kama unaweza. Au tupia kwenye mrimi10@gmail.com. Utakuwa umenihelp ile mbaya!
Hiyo kimeo kaka maana hadi sasa hakuna aliyefanikiwa mia mia but tuvutemda huenda soln ikapatikana coz hata e153-u2 zilisumbua ki hivyo
pamoja mkuusawa mkuu, na mimi naendelea na mchakato nitakapofanikiwa nitaleta hapa.
e303 inachakachuka kirahisi tu kaka sema memba wengi wazito kutoa mrejesho.
cha muhimu andika flash code ya modem yako pembeni then unaupgrade ikifika sehemu utatakiwa uingize hizo code mchezo kwishney.
ebu kamata uzi wa Kimox Kimokole hapo chini ujifanyie mwenyewe.....ni 100% unlocked
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/303310-finally-huawei-e303-unlocked-2.html
Dah, kwangu imenigomea unlock button haiko active
UOTE]
Mkuu Never give up mbona umebakiza mkia?
ukifikia hatua hiyo shuka chini uclick hapo palipoandikwa enable diagnostic port itamaliza mchezo kaka!!
Dah, kwangu imenigomea unlock button haiko active
UOTE]
Mkuu Never give up mbona umebakiza mkia?
ukifikia hatua hiyo shuka chini uclick hapo palipoandikwa enable diagnostic port itamaliza mchezo kaka!!
HAPANA mkuu.
Inakataa kwa ZTE K3565-Z,labda model nyingine. Lakini hii nimehangaika nayo sana tangu jana.
Naomba wana JF mnipe unloking code za modem ya HUAWEI , model 1550 IMEI yake ni 352 965 043 440 013.Asante sana.
kama ni huawei E173 basi tafuta master unlock code calculator ili ikupe unlock code ndio utumie na kama ni E303 hizi mpya mpaka sasa sijaona aliyefanikiwa akaleta feedback zaidi wanakuambia uiupdate firmware lakini haiwezifanya kitu...
Kuna ka-programu kanaitwa HUAWEI UNLOCKER kanafanya kazi VIZURI SANA kwenye moderm zote zinazotumia line hata zile za vodaphone.
Inachukua kama dakika 2 au tatu tu ku-unlock. Kama ukishindwa ku-google na kuidownload ni-PM email adress ili nikutumie.
Mimi ninaomba msaada kwa mtu mwenye unlocking code / software ya simu ya Mi-A300 (ile waliyotoa tigo -Tz kwa postpaid).

Imegoma kutuma BUT just google....HUAWEI UNLOCKERNami nitumie mkuu
maseled9@gmail.com