Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 419
Waoh, Asante kwa ushauri mzuri dada anguRafiki yangu akisoma batchelor ya mathematics aliomba kazi central bank walimchukua na akafanya mitihani ya accounts. Yuko poa
Ahsante kwa ushauri mkuuAcha woga kijana kusoma sana ni woga huo.hiyo uliyo NATO inatosha
Asante sana ndugu kwa ushauri mzuri, vp kuhusu chuo ungenishauri chuo gani hasaNenda kasome applied mathematics mkuu... Huko utasoma kuanzia uchumi, mpaka finance ila katika ulimwengu wa mathematics!!
Ukikosa applied kasome pure mathematics!!
Asante mkuu, vp hpo kwenye Masters ungenishauri nichukue Maths au course zingine za elimu?Kwa maelezo uliyoyatoa inaonyesha ulichukua degree ya education ya BED science.
Sasa kama una mpango wa kuwa mbobez wa masuala ya elimu unaweza kuendelea na masomo ya masters ila kama huna plan hizo nakushauri hizo gharama za kusomea masters uzitumie kufanya uwekezaji ili kukuza uwezo wako kiuchumi.
Chukua educational courses nje ya nchi lakiniAsante mkuu, vp hpo kwenye Masters ungenishauri nichukue Maths au course zingine za elimu?
Nashukuru mkuu, naomba unisaidie kuwaza juu yakipi nikasomee kati ya "Maths" au "Any of the educational courses"Boss kabla hujafikiria kozi lazim ufikiri kwa nini unataka kusoma masters na kwa nini ulisoma mathematics.Swala lingine ni malengo yako katika career yako.Unapotaka kusoma masters lengo lawza kuwa mbobezi hata hata kufikia PHD au unaweza kuwa unataka kupanua wigo kitaaluma.Kwa mtu aliyesoma education mathematic unaweza fanya Masters ya Education management au Masters ya Statistics au masters computer programming au MBA unaweza hata amu kusoma pure accountancy.Jambo la muhimu ni kufahamu mpango wangu kitaaluma na career wise.Usisahau kwa level yako ya elimu kama bado unasoma ili upate ajira na mshahara basi wewe bado ni vidudu sana kwa sababu wasomi wa level yako hawapaswis kufikiri hivo