Naomba unioe..

Naomba unioe..

Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa

Inaonekana uwezo wako wa kufikilia bado uko chini sana! Hivi umri wako ni miaka mingapi vile?

Yaani jambo dogo sana kama hilo umeshindwa kulipatia ufumbuzi mpaka ulilete huku JF!!!

Jibu la tatizo hilo unalo mwenyewe. Umtongoze mwenye, umdanganye danganye mwenyewe kisha uje unalialia huku jf eti anataka nimuoe!
Nani kakutuma umdanganye? Yeye ni mpuuzi aibuke from nowhere aseme anataka umuoe!

Kamalizane nae tafadhari na uache kulialia hapa jukwaa la the great thinkers.
 
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
Achana naye tafuta mwingine umgegede 1 times tena wakati ukijiandaa kuoa!
 
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
Ulijichanganya mwenyewe kwa kutokuwa mwaminifu kwa huyo wako unayempenda! Msalaba wako huo!
 
Kwanza wewe ni muongo, Kama mlikutana hapa JF kamjuaje Mama Yako??? Eti kamweleza mama, kwa hiyo ulikuwa umejitahidi kumpeleka hadi nyumbani kwenu ili aamini kwamba utamuoa??? Kalaghabaho !
 
best,jitahidi kusoma thread kwa makin sijaandika hapo swala kufahimaina kwenye JF,be serious meeeeen!
 
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
Hapa kuna uongo na ni wazi humpendi huyo uliye nae.

Tatizo una rangi mbili ndio maana amemwambia mama yako.

Yani mtu umwambie kuwa umtaki tena huwe serious kweli anaweza kuendelea kukusumbua kama unavyo jaribu kuonesha?

huu ni uongo your not serious kabisa na ni wazi unampenda huyo msichana.
 
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa

Jitoe kwenye mtandao wa ngono.....................
 
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa

Very simple! Muite mchumba wako wa ukweli, muite na huyo demu uliyemgegeda! Weka mambo hadharani! Atakaekuvumilia na kukusamehe, basi huyo ndiye umuoe!
 
Kwa haraka haraka nikisoma jinsi unavyowajibu wanakushauri, wewe hujielewi na nina wasiwasi thread hii humaanishi na then wewe ni under 18
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom