Naomba unioe..

Naomba unioe..

Joined
Oct 31, 2013
Posts
46
Reaction score
11
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
 
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume

Acha kujisifia ujinga wakati umekuja kuomba ushauri hapa alaaaa..!

Okey hebu kuwa mkweli ushawishi wako ulikuwa nini mpaka binti akakuvulia pichu?
Nauliza hivi kwa sababu nyie vijana mnatabia za kutangaza uchumba ili upewe nyapu sasa isije ikawa ulitangaza kuoa ama ulijinasibu kwamba wampenda sanaaaaa na mambo kama hayo maana kumbuka na yeye si mjinga mpaka akung'ang'anie kiasi hicho bila shaka kuna dalili ulimwonyesha
Halafu nilikuwa najiuliza ilikuwaje akamjua mama yako? Maana kama ni mtu ambaye hukuwa na future nae sidhani kama kulikuwa na haja ya yeye kujua wazazi wako au kuwa na ukaribu na wazazi wako mpaka afikie pahala pa kumshawishi mzazi wako kwamba umwoe

ACHA KUCHEZA NA ROHO ZA WATU AISE
 
Endelea kulinda hadhi ya uanaume..muoe
 
ulimtifua ya nin kama ulikuwa na unaemthamin? Ulipanda mchicha unategemea uvune bangi??
 
Kwa hiyo wewe kila rafiki unagegeda,sasa umechuma majani yasiyoliwa!!!! Akugande hasa mpaka akili ikae sawa ili siku nyingine kabla hujafungua zipu kulinda hadhi ya kiume ufikirie kwanza athari yake kwa mahusiano uliyonayo!

si ndo hapo amgande tu hadi keshokutwa...........hayo yote hakuyafikiria mwanzoni
 
Mungu akusaidie sana katika ujana wako na katika harakati nzima za kulinda hadhi zako za kiume
 
Acha kujisifia ujinga wakati umekuja kuomba ushauri hapa alaaaa..!

Okey hebu kuwa mkweli ushawishi wako ulikuwa nini mpaka binti akakuvulia pichu?
Nauliza hivi kwa sababu nyie vijana mnatabia za kutangaza uchumba ili upewe nyapu sasa isije ikawa ulitangaza kuoa ama ulijinasibu kwamba wampenda sanaaaaa na mambo kama hayo maana kumbuka na yeye si mjinga mpaka akung'ang'anie kiasi hicho bila shaka kuna dalili ulimwonyesha
Halafu nilikuwa najiuliza ilikuwaje akamjua mama yako? Maana kama ni mtu ambaye hukuwa na future nae sidhani kama kulikuwa na haja ya yeye kujua wazazi wako au kuwa na ukaribu na wazazi wako mpaka afikie pahala pa kumshawishi mzazi wako kwamba umwoe

ACHA KUCHEZA NA ROHO ZA WATU AISE
huyu wale wale wa gia yao moja tu nitakuoa
 
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume

Hadhi ya kiume hailindwi kwa kutia m.ti kila demu anaepita mbele yako, unailinda kwa kumuheshimu umpendae. Kama kweli una nia ya kweli ya kumuacha usingekujaq kuomba ushauri hapa. Try to be expensive, sio kila demu anakuchungulia d.ud.u yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom