the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 218
Maserat shikamoo heshima yako nimekuelewa sanaPoleni, wewe ni mstaarabu ngoja niwasaidie hivi
1. Ale punje za kitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni,azimeze.
2. Anywe Juice ya mananasi.
3. Atumie mchaichai,auloweke na maji ya moto yakipoa kabisa anawe kwa bibi ake,sio hukata harufu tu utaona na mengine pia mazuri.
4. Maji yaliyolowekewa sufuria ya ugali.
Kati ya njia hizo moja wapo huondoa kabisa tatizo.
Nimepata somo hapa.Poleni, wewe ni mstaarabu ngoja niwasaidie hivi
1. Ale punje za kitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni,azimeze.
2. Anywe Juice ya mananasi.
3. Atumie mchaichai,auloweke na maji ya moto yakipoa kabisa anawe kwa bibi ake,sio hukata harufu tu utaona na mengine pia mazuri.
4. Maji yaliyolowekewa sufuria ya ugali.
Kati ya njia hizo moja wapo huondoa kabisa tatizo.
asante mkuuKuna dawa ya kutawazia inaitwa pormangate potassium na ajaribu kutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu, mpe darasa kidogo basi maana ww unaweza saana kujisafishaKwanza nimekupenda sana kwa kuwa na mpenzi wako bega kwa bega kwenye hilo tatizo haujamuacha huo ndio uanaume mwambie awe anajisafisha vizuri sana wengine wanashindwa kujisafisha vizuri
Asantee
Sawa,umsaidie mama yoyoo yakitokeaNimepata somo hapa.
Sio lazima nipatwe na tatizo hilo,lakini pia sisi wanawake maumbile yetu tunachangamoto nyingi zikiwemo maambukizi ya bacteria,so vitu kambo hivo kuvijua ni kawaida.
NB:Poleni, wewe ni mstaarabu ngoja niwasaidie hivi
1. Ale punje za kitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni,azimeze.
2. Anywe Juice ya mananasi.
3. Atumie mchaichai,auloweke na maji ya moto yakipoa kabisa anawe kwa bibi ake,sio hukata harufu tu utaona na mengine pia mazuri.
4. Maji yaliyolowekewa sufuria ya ugali.
Kati ya njia hizo moja wapo huondoa kabisa tatizo.
kuna mtu alikua na shida kama hii mikamshauri amfwate kaka mmoja ivi ambaye najua alinsaidia..Habari za muda huu waungwana wa jf
Niende straight kwenye mada...mimi ni kijana nnampenzi wangu(ke) ambaye nnampenda sana lakini tatizo anatoa harufu mbaya ukeni, kitu ambacho kinanifanya nikose raha natumai na yeye anakosa raha pia....tumeenda hospital lakini tatizo bado lipo....ameniomba nije jf kama naweza kupata ufumbuzi wa hili tatizo..sababu kubwa ya kulileta hili jambo huku jf kuna jamii kubwa ya watu, ambao pengine kwa namna moja au nyingine wameshakumbwa na tatizo hili na wakapata ufumbuzi........
sitegemei kutukanwa au kukejeriwa kwa namna yoyote ile..asante
I BLNG 2 JESUS CHRST