Naomba ufafanuzi wa hili la Smart Watch

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,

Kwa wale wataalam wa smart watch naomba mnijuze hapa, hivi hizi saa huwa hazi display muda kwenye display yake hapa mpaka ubonyeze batan ya pemben au kuna setting ya kuifanya i display time muda wote?

Maana nina saa moja hapa naona ipo faint tu kwenye kioo mpaka nikibonyeza batan ndio ina display time yaan kwenye kioo kama kuna screensaver fulani hivi.
 
Smartwatch zipo Nyingi ,yako ni Hipi Na Weka na picha
 
Yangu ya Fitbit huwa ipo off mara nyingi ila ikiingia kwenye giza huwaka wenyewe na baadhi ya wakati screen huwa on lakini mara nyingi huwa off. Apple watch ndio kwanza nimenunua jana kwahio nitakupa mrejesho ndani ya wiki.

Lunatic
 
Ok nimekupata
 
Kwa sababu betri ni ndogo watengenezaji wamefanya hivyo makusudi ku save charge. Ukitaka kuangalia mda nyanyua mkono tu uliovaa hiyo saa display itawaka kukuonyesha mda itakuwa on kwa sekunde kadhaa then off again.unatumia model gani? Manake kuna nyingine zinahitaji ufanye settings kwenye app yake iliyopo kwa simu
 
Back
Top Bottom