Naomba ufafanuzi wa hili katika M-pesa App

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
959
1,000
Habari Vodacom,

Mimi nimejiunga hivi karibun kwenye Mpesa App. Napendekeza muweke option ya kuserve number za Luku, Maji, DSTV nk hii itamrahishia sana mteja kwa kuokoa muda na kuepuka makosa.

Nimejaribu kulipia umeme na Kingamuzi inanipa option ya kutype number...kitu ambacho naona kimepitwa na wakati

Nawakilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom