patrick mpwenku
Member
- Jan 18, 2014
- 14
- 0
Kuna dogo amechaguliwa kwenye hizi post za form 4 kwenda njoss, lakin pia aliApply nacte coz ya clinical medicine kwa hiyo anasubiri majibu NACTE.
Kwa kua akichaguliwa chuoni masomo ataanza mwezi Wa 10 ameona ni bora aende kulipot uko shule ya njoss alikochaguliwa ili aendelee na masomo ya A LEVEL mpaka mwezi wa kumi kama akichaguliwa chuo aende chuoni.
Swali ni:
je MTU akiripot shuleni majina yao yanapelekwa NECTA na kutambulika?
Au hupelekwa na kutambulika nectar mpaka mwanafunz akifika form 6 kwny usahili Wa mtihani?
Je kama jina la mwanafunzi linafikishwa NECTA na kutambuliwa pindi akiripot shuleni kunauwezekano wowote Wa NACTE kutompangia chuo mwanafunzi Hugo sababu ameshasajiriwa na NECTA?
Je NACTE na NECTA wanawasiliana katika kusajiri wanafunzi?
Shuqran sana Wakuu....