Niya matatzo ya figoMimi ni mjamzito nimepewa dawa hii hosp sasa sijawah hata kuiona wala kuitumia je ni ya kazi ganiView attachment 484318
Niya matatzo ya figoMimi ni mjamzito nimepewa dawa hii hosp sasa sijawah hata kuiona wala kuitumia je ni ya kazi ganiView attachment 484318
Mimi nimepewa pia kwa ajilinya sikio lakn langu haliumi linaziba na kupiga makelele hasa uskNna tatizo la sikio la kulia halisikii kabisa,nikawa nimepewa rufaa kwenda bugando.Nikaonana na docter bingwa wa masikio,akalichunguza akaniandikia hivi vidonge 60 kila siku kimoja.nilitumia lakini sikupata nafuu mpaka Leo.
Vp ilikusaidia??Duuuuhh sikio tena